Vitabu vya Google Play ndiyo programu unayohitaji ili ununue na kufurahia vitabu pepe, vitabu vya kusikiliza, vitabu vya vibonzo na manga.
Chagua kutoka kwa mamilioni ya vitabu pepe, vitabu vya vibonzo, manga, vitabu vya kiada na vitabu vya kusikiliza vinavyonunuliwa sana. Pakua kitabu chako cha kusoma au kusikiliza mahali popote ulipo. Utakapomaliza, tafuta kitabu kingine unachopenda kwenye mapendekezo yanayokufaa. Nunua vitabu pepe na vya kusikiliza popote ulipo - huhitaji kujisajili.
Chagua kutoka mamilioni ya vitabu pepe, vitabu vya kusikiliza na vibonzo
* Nunua vitabu pepe na vitabu vya kusikiliza popote ulipo - hakuna usajili unaohitajika.
* Kagua vitabu kwanza kabla ya kununua.
* Pata mapunguzo ya ziada kwa chaguo fulani.
* Pokea barua pepe au arifa kuhusu matoleo mapya kutoka kwa waandishi unaowapenda na wakati vitabu ulivyoweka kwenye orodha ya matamanio vitakapopatikana kwa ofa.
* Pata pointi za Google Play kwa kila ununuzi, kisha uzibadilishe ili upate salio la Google Play.
* Pokea arifa au barua pepe za mapunguzo ya bei katika sampuli na matoleo yako mapya kutoka kwa waandishi na mifululizo unayoipenda.
* Gundua matoleo mapya, wauzaji bora na mapendekezo yaliyowekewa mapendeleo kwenye aina kama vile mahaba, ubunifu wa sayansi, mafumbo na misisimko, kujisaidia, dini, maudhui halisi na zaidi.
Hali bora ya kusoma na kusikiliza darasani.
* Soma au usikilize kwenye Android, iOS, au kivinjari chako, hata wakati haupo mtandaoni.
* Endelea ulikoachia kwenye kifaa chochote.
* Weka mapendeleo ya hali yako ya kusoma. Rekebisha ukubwa wa maandishi, aina ya fonti, kingo, mpangilio wa maandishi, ung'avu na rangi za mandharinyuma.
* Fuatilia hatua unazopiga unaposoma. Angalia asilimia ambayo umesoma na kurasa ambazo zimesalia.
.
* Panga maktaba yako katika rafu. Tumia kichupo kipya cha rafu ili uratibu maktaba yako kulingana na mandhari au aina. Angalia rafu zako kwenye Android, iOS na wavuti.
* Hifadhi kwenye kadi ya SD. Hifadhi vitabu vyako kwenye kifaa au kadi ya SD, ili usikose nafasi ya kuhifadhi.
* Tumia zana za kusoma vitabu vya watoto ili upate ufafanuzi wa maneno unaofaa watoto, kusikiliza maneno mahususi au kusikiliza kitabu kinaposomwa kwa sauti.
* Tumia Kiputo kinachokuza maandishi ili usome vitabu vya vibonzo kwa urahisi kwenye kifaa cha mkononi. Gusa ukurasa na utazame vibonzo au manga unayopenda ikionyeshwa moja kwa moja.
* Andika madokezo yanayosawazishwa na Hifadhi ya Google na uyashiriki na kikundi.
* Angalia ufafanuzi, upate tafsiri, hifadhi muhtasari na uweke alamisho kwenye kurasa unazopenda unaposoma.
* Washa Mwanga wa Usiku ili urekebishe kiotomatiki mwangaza na rangi ya mandharinyuma au uweke programu zitumie mwangaza wa mfumo wa uendeshaji.
Ilisasishwa tarehe
16 Des 2024