Mnadhifishaji Tukio la 5: Wewe ndiye Unayefuata

· Lindhardt og Ringhof
Ebook
23
Pages
Ratings and reviews aren’t verified  Learn More

About this ebook

Anne Larsen anamuonyesha Roland picha ya Uwe Finch, na Roland kwa hakika haiwezi kuwa ni mwanamume yule anayemfanana, anatambua baadhi ya sehemu za uso wake. Kuna jambo kuhusu macho yake jinsi yamekaribiana sana. Ila haiwezi kuwa ni mwanamume yule anayefanana vile kwani alifariki miaka kadhaa iliyopita katika moto kwenye hoteli. Wakati mchoro wa vidole unatambua kuwa kwa hakika huyu ni mwanamume yule ambaye Roland alihofia kuwa ndiye, anapata azma ya kutambua ni kwa nini mwanamume huyu alirejea na kutambuliwa vingine na kwa nini anaweza kuwa katika eneo la Aarhus. Mama yake Bertram anapata jaketi iliyotengenezwa kwa ngozi iliyoibwa katika chumba cha Bertram na anataka kumrejeshea mpenzi wake. Kwa mara nyingine, Bertram anajaribu kumfikia na kumfanya aelewe kuwa maisha yake yako hatarini ila mama yake amekasirika na anakataa kumsikiliza. Mama yake anadai kuwa Bertram ana wivu tu na kuwa ni Bertram aliyemuua dada yake mdogo. Bertram amekasirika, anavuta sigara moja na kulala huku runinga ikiwa imewaka. Akiwa katika hali hii ya kulewa, kwa mara moja anagundua ukweli wa kutisha. Usiku unapoisha Bertram anagutuka kutoka kwa jhali ile ya kutunduwaza, anampata mama yake hajarejea nyumbani.



The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.

Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. Baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).

Rate this ebook

Tell us what you think.

Reading information

Smartphones and tablets
Install the Google Play Books app for Android and iPad/iPhone. It syncs automatically with your account and allows you to read online or offline wherever you are.
Laptops and computers
You can listen to audiobooks purchased on Google Play using your computer's web browser.
eReaders and other devices
To read on e-ink devices like Kobo eReaders, you'll need to download a file and transfer it to your device. Follow the detailed Help Center instructions to transfer the files to supported eReaders.