Mnadhifishaji Tukio la 4: Mwongozo Mpya

· Lindhardt og Ringhof
Ebook
23
Pages
Ratings and reviews aren’t verified  Learn More

About this ebook

Anne Larsen anatambua kuwa wakili yule wa utetezi aliyefariki alikatiza kazi yake muda mfupi tu baada ya kushindwa katika kesi, na kuwa mteja wake, ambaye alikuwa ni Patrick Asp aliyeua mtoto mdogo alikuwa amehukumiwa kufungwa jela. Baba yake wakili huyu wa utetezi ambaye alikuwa jaji wa mahakama ya juu ametoweka na hajapatikana alipo. Anne yupo kwenye jela ili kumhoji askari jela kuhusiana na mfungwa aliyefariki kutokana na kunywa dawa kupita kiasi, wakati Patrick Asp kwa usiri anaweza kumpa barua. Patrick Asp ameandika kuwa alifungwa kimakosa na kuwa mke wake alihusika katika kufanya hivi. Anne anamtafuta mwanamke huyu kwenye mkahawa anaoufanyia kazi. Pia anakutana na mwana wa mwanamke huyu, ndiye Bertram, na Anne anahisi kwamba wawili hawa wanaficha jambo. Kuna jambo lenye shauku kuhusu Uwe Finch pia, mwanamume ambaye mamake Bertam ana uhusiano naye. Anaonekana kama anayeficha kujitambua kwa hakika, na Anne anawasiliana na Roland Benito ili kutafuta msaada wake katika kutambua mwanamume huyu anaweza kuwa ni nani haswa.



The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.

Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. Baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).

Rate this ebook

Tell us what you think.

Reading information

Smartphones and tablets
Install the Google Play Books app for Android and iPad/iPhone. It syncs automatically with your account and allows you to read online or offline wherever you are.
Laptops and computers
You can listen to audiobooks purchased on Google Play using your computer's web browser.
eReaders and other devices
To read on e-ink devices like Kobo eReaders, you'll need to download a file and transfer it to your device. Follow the detailed Help Center instructions to transfer the files to supported eReaders.