Simulizi Tamu kila siku

1,000+
次下载
内容分级
PEGI 3
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片
屏幕截图图片

关于此应用

Simulizi tamu za kusisimua ni App pekee inayokuletea hadithi za kusisimua na za kuelimisha moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi。

Simulizi Tamu za kusisimua ni App-jalizi ya kipekee iliyoundwa kwa ajili ya kusimulia hadithi za kuvutia, kuelimisha na kuburudisha。应用程序 hii inajumuisha maktaba kubwa ya simulizi za kusisimua zilizoandikwana waandishi mahirinawaliobobea kutoka 坦桑尼亚。

Simulizi Tamu、unaweza kufurahia kusoma hadithi mbalimbali kulingana na matakwa yako。
Kuanzia hadithi za kusisimua riwaya、hadithi za kihistoria hadi hadithi za kusisimua za uchunguzi、SimuliziTamu App inakupa uzoefu wa kipekee wa kusoma。

Simulizi Tamu za kusisimua inajulikana kwa urahisiwake wa matumizi na muundowake rahisi。 Programu hii inatoa utaratibu mzuri wa utafutaji, ikikuruhusu kupata hadithi unazotafuta haraka na kwa urahisi。 Aidha,unaweza kuweka alama(书签)kwenye hadithi unazopenda,kushare hadithi na marafiki zako,na hata kujumuisha maoni yako kwa kila hadithi。

Kupitia Simulizi Tamu、unaweza kufurahia ulimwengu wa hadithi kila wakati na mahali popote。程序 hii inapatikana kwenye vifaa mbalimbali vya simu ikikupa uhuru wa kusoma wakati wowote unaopenda。 Kwa hiyo,chukua safari ya kipekee ya kusisimua kupitia ulimwengu wa hadithi na Simulizi leo。

Sifa za app hii ya Simulizi ni pamoja na:-
Maktaba Kubwa ya Hadithi: Simulizi inajumuisha maktaba Yanye makumi ya maelfu ya hadithi tofauti za Kiswahili,zikiwa na mada mbalimbali zinazovutia kila mtu。

Uchaguzi wa Makundi:Wasomaji wanaweza kuchagua hadithi wanazotaka kusoma kutoka kwenye makundi tofauti kama vile mapenzi/mahusiano、ucheshi、kusisimua、visa namikasa na zaidi、kulingana na matakwa yao。

Uwezo wa Kupakua na Kusoma Nje ya Mtandao: Simulizi Tamu inawaruhusu watumiaji kupakua hadithi wanazopenda ili kuzisoma wakati wowote bila kuwa na uhusiano wa mtandao。

Simulizi Tamu ina vipengele vya kipekee ambavyo huwawezesha wasomaji kushiriki hadithi wanazopenda na marafiki zao kwa urahisi kupitia mitandao ya kijamii kama WhatsApp、Facebook、na Twitter。

Kufuatilia Muendelezo ya Hadithi: Simulizi Tamu inawezesha wasomaji kufuatilia maendeleo ya hadithi wanazosoma, hivyo kuhakikisha kuwa hawakosikipande/episode

Simulizi Tamu inakusudia kuleta burudani, maarifa, na kujifunza kwa lughaya Kiswahili kwa njiaya kisasa naya kuvutia。 Ni 计划 bora kwa wapenzi wa hadithi ambao wanatafuta uzoefu wa kipekee wa kusoma na kufurahia hadithi za Kiafrika。
更新日期
2024年5月15日

数据安全

安全始于了解开发者如何收集和分享数据。数据隐私保护和安全措施可能会因您的使用情况、所在地区和用户年龄而异。此类信息由开发者提供,可能会随时间更新。
不与第三方分享任何数据
详细了解开发者如何声明数据分享事宜
不会收集任何数据
详细了解开发者如何声明数据收集事宜
数据在传输过程中会加密
数据无法删除

新变化

Simulizi za kiswahili kutoka kwa waandishi wabobezi.