Kaa karibu na uwepo wa Mungu kwa kusifu na kuabudu kupitia nyimbo zilizopo katika kitabu cha Tenzi za rohoni kupitia app hii.
Tenzi za Rohoni ni App ambayo ni rasilimali muhimu kwa waumini wa Kikristo wanaotumia lugha ya Kiswahili, ikirahisisha upatikanaji wa nyimbo za injili mahali popote na wakati wowote.
"Tenzi za Rohoni" ni programu ya simu ambayo imeundwa kwa lengo la kusaidia watu kusoma na kushiriki nyimbo za Kikristo za Kiswahili, maarufu kama "tenzi." App hii inakuja na maktaba kubwa ya nyimbo 161 za injili ambazo zinaweza kusikilizwa au kusomwa kwa kusudi la ibada, mafundisho, au kuabudu.
Karibu uabudu nasi kupitia programu ya Tenzi za rohoni kila wakati hata bila kuwa na Mb , ipakua sasa ili uanze kuitumia pia usisahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki waipakue.