Ukiwa na Spotify, unaweza kucheza mamilioni ya nyimbo na podikasti bila malipo. Sikiliza nyimbo na podikasti unazopenda na ufurahie muziki kutoka duniani kote.
• Gundua muziki, albamu au podikasti • Tafuta wimbo, msanii au podikasti unayopenda • Furahia orodha za kucheza zilizotengenezwa kwa ajili yako • Tengeneza na ushiriki orodha zako za kucheza • Tafuta muziki wa shughuli au hali yoyote • Sikiliza kwenye kifaa chako cha mkononi, tablet, kompyuta ya mezani, PlayStation, Chromecast, TV, na spika
Cheza muziki bila malipo kwenye tablet na kifaa chako cha mkononi ukiwa na Spotify. Sikiliza muziki, albamu, orodha za kucheza na podikasti popote ulipo.
Ukiwa na Spotify, una uwezo wa kufikia muziki bila malipo, orodha za kucheza zilizopangwa, wasanii na podikasti unazopenda. Gundua muziki, podikasti mpya na usikilize wasanii, albamu unazopenda au utengeneze orodha ya kucheza yenye nyimbo mpya zinazofaa hali yako.
Spotify pia inakupa muziki bila malipo, orodha za kucheza zilizopangwa na maelfu ya podikasti ambazo huwezi kupata mahali pengine popote. Pata muziki kutoka kwa wasanii unaowapenda na usikilize muziki mpya bila malipo.
• Umerahisishiwa kusikiliza muziki na podikasti bila malipo – Sikiliza orodha za kucheza au ucheze muziki wa msanii yoyote katika hali ya kuchanganya
Sikiliza muziki na podikasti kwenye tablet yako bila malipo • Cheza muziki wa msanii yoyote, podikasti, albamu au orodha ya kucheza na ufurahia hali ya muziki ulio na mapendeleo yako
Vipengele vya Spotify Premium • Sikiliza albamu, orodha ya kucheza au podikasti bila matangazo. Ukiwa na Spotify unaweza kucheza muziki wa msanii yoyote, wakati wowote kwenye kifaa chochote--cha mkononi, tablet, au kompyuta yako. • Pakua na ucheze muziki ili usikilize nje ya mtandao. • Furahia ubora murua wa sauti kwenye muziki na podikasti zinazokufaa. • Gundua muziki mpya au orodha za kucheza zilizopangwa zinazofaa hali yako. Ukiwa na Spotify utapata hali ya usikilizaji muziki isiyo na kifani. • Hamna mikataba - ghairi wakati wowote.
Furahia Spotify kwenye kifaa cha Wear OS: • Furahia muziki, podikasti na vitabu vya kusikiliza unavyopenda bila kuwa na simu yako karibu. • Dhibiti uchezaji kwenye simu yako au vifaa vyako vyovyote vinavyooana na Spotify • Pakua maudhui unayopenda ili usikilize nje ya mtandao popote ulipo (Premium pekee). • Pata idhini ya kufikia Spotify papo hapo ukitumia Vigae na Changamano zetu
Ungependa kugundua muziki mpya? Chagua orodha za kucheza zilizopangwa, albamu mpya au upate mapendekezo ya muziki yanayokufaa.
Unapenda Spotify? Tupende kwenye Facebook: http://www.facebook.com/spotify Tufuatilie kwenye Twitter: http://twitter.com/spotify
Tafadhali kumbuka: Programu hii ina programu ya Nielsen ya kupima hadhira ambayo pia itakuruhusu kuchangia katika utafiti wa masoko, kama vile Kipimo cha Sauti cha Nielsen. Ikiwa hutaki kushiriki unaweza kujiondoa kwenye mipangilio ya programu. Ili upate maelezo zaidi kuhusu bidhaa zetu dijitali za kupima hadhira na chaguo zako kuhusu bidhaa hizi, tafadhali tembelea http://www.nielsen.com/digitalprivacy kwa maelezo zaidi.
Ilisasishwa tarehe
24 Jan 2025
Muziki na Sauti
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Mahali, Taarifa binafsi na Kifaa au vitambulisho vingine
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine7
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
watchSaa
directions_car_filledGari
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.3
Maoni 30.4M
5
4
3
2
1
mbaraka majimbo
Ripoti kuwa hayafai
1 Februari 2023
Ni nzuri sana
Watu 19 walinufaika kutokana na maoni haya
Meshaki Lukumayi
Ripoti kuwa hayafai
Onyesha historia ya maoni
14 Novemba 2022
Nawasalim nyote kwajina la yesu
Watu 27 walinufaika kutokana na maoni haya
Abubaker Masiza
Ripoti kuwa hayafai
14 Oktoba 2022
Its good
Watu 18 walinufaika kutokana na maoni haya
Vipengele vipya
Tunafanya mabadiliko na uboreshaji kwenye Spotify kila wakati. Ili uhakikishe kwamba hukosi chochote, usizime Taarifa zako.