Pata programu rasmi ya Kalenda ya Google ambayo ni sehemu ya Google Workspace, kwenye simu ya Android, kishikwambi au kifaa chako cha Wear OS ili uokoe muda na ufaidike zaidi kila siku.
• Njia tofauti za kuangalia Kalenda yako - Badilisha haraka kati ya mwonekano wa mwezi, wiki na siku.
• Matukio kutoka Gmail - Maelezo ya nafasi ulizoweka za safari za ndege, hoteli, matamasha, mikahawa na mengineyo huwekwa kwenye kalenda yako kiotomatiki.
• Majukumu - Weka, dhibiti na uangalie majukumu yako sambamba na matukio yako kwenye Kalenda.
• Kalenda zako zote pamoja - Kalenda ya Google inafanya kazi na kalenda zote kwenye simu yako, ikiwa ni pamoja na Exchange.
• Kamwe usikose tukio au jukumu popote ulipo - Kwenye vifaa vya Wear OS, Kalenda ya Google hukuarifu kwa wakati na inaruhusu vigae na madoido.
Kalenda ya Google ni sehemu ya Google Workspace. Ukiwa na Google Workspace, wewe na timu yako mnaweza:
• Kuratibu mikutano haraka kwa kuangalia upatikanaji wa wafanyakazi wenza au kwa kupanga kalenda zao katika mwonekano mmoja
• Kuona ikiwa vyumba vya mkutano au nyenzo za pamoja hazitumiki
• Kushiriki kalenda ili watu waone maelezo kamili ya tukio au waone tu ikiwa huna shughuli
• Kuifikia kupitia kompyuta ya kupakata, kishikwambi au simu yako
• Kuchapisha kalenda kwenye wavuti
Pata maelezo zaidi kuhusu Google Workspace: https://workspace.google.com/products/calendar/
Tufuatilie ili upate maelezo zaidi:
Twitter: https://twitter.com/googleworkspace
Linkedin: https://www.linkedin.com/showcase/googleworkspace
Facebook: https://www.facebook.com/googleworkspace/
Ilisasishwa tarehe
23 Jan 2025