Inakuunganisha na ulimwengu wa muziki:
● Maudhui ya muziki yakiwemo matamasha ya moja kwa moja, matoleo mengine ya nyimbo, miseto na maudhui ya muziki ambayo huwezi kuyapata kwingineko
● Maelfu ya orodha za kucheza zilizoratibiwa katika aina na shughuli nyingi
Sikiliza muziki uliowekewa mapendeleo, unaofaa kwa kila tukio:
● Miseto na orodha za kucheza mahususi kwa ajili yako, zilizobuniwa kutokana na aina za muziki unazopenda
● Miseto iliyochaguliwa kuendana na vipindi vyako vya Mazoezi, Kupumzika na Kutafakari
● Buni orodha za kucheza kwa mapendekezo ya nyimbo au ushirikiane na mashabiki wengine wa muziki ili kubuni orodha bora ya kucheza
● Maktaba Iliyowekewa Mapendeleo ili uone nyimbo, orodha za video, wasanii na albamu zote ulizopenda na ulizoweka
Endelea kupata taarifa na ugundue muziki mpya:
● Angalia miseto iliyoratibiwa kwa ajili yako kama vile Miseto ya Gundua na Vibao Vipya
● Gundua muziki kulingana na aina (Hip Hop, Pop, Country, Dance & Electronic, Blues, Indie & Alternative, Jazz, Kpop, Latin, Rock, na zaidi)
● Gundua muziki kulingana na hali (Tulivu, Kujihisi vizuri, Kuongeza Nguvu, Kulala, Kutafakari, Mapenzi, Mazoezi ya Mwili, Safari, Sherehe)
● Gundua chati maarufu kutoka kote duniani
Imeboresha hali yako ya usikilizaji kwa vipengele vya kipekee:
● Maneno ya wimbo ili uweze kuimba nyimbo unazopenda
● Badilisha kati ya sauti na video kwa urahisi
● Sikiliza kwenye simu yako, kompyuta ya mezani, spika mahiri, TV mahiri, gari, saa mahiri na kwenye programu unazopenda.
● Ongeza Kigae kwenye saa yako ya Wear OS ili ufikie muziki wako kwa haraka.
● Inaoana na programu ya Mratibu wa Google, Ramani za Google, Waze na zaidi.
Jisajili kwenye Music Premium (inapatikana katika nchi mahususi) ili ufurahie:
● Sikiliza muziki bila matangazo
● Cheza muziki chinichini
● Fikia muziki uliopakua, ikiwa ni pamoja na uliopakuliwa kiotomatiki
● Badilisha kati toleo la sauti pekee na la video kwa urahisi, ukitumia YouTube Music pekee.
Ilisasishwa tarehe
9 Jan 2025