• Tafsiri ya maandishi: Tafsiri kati ya lugha108 kwa kucharaza • Gusa ili Utafsiri: Nakili tu maandishi katika programu yoyote na uguse aikoni ya Google Tafsiri ili utafsiri (lugha zote) • Nje ya mtandao: Tafsiri bila muunganisho wa intaneti (lugha (59) • Tafsiri ya papo hapo kwenye kamera: Tafsiri maandishi katika picha papo hapo kwa kuelekeza kamera yako tu (lugha 94) • Picha: Piga picha au uzilete kutoka mahali pengine ili upate tafsiri zenye ubora wa juu zaidi (lugha 90) • Mazungumzo: Tafsiri mazungumzo ya lugha mbili moja kwa moja (lugha 70) • Mwandiko: Chora herufi za maandishi badala ya kucharaza (lugha 96) • Kitabu cha Tafsiri: Weka nyota na uhifadhi maneno na sentensi ulizotafsiri ili uzirejelee baadaye (lugha zote) • Usawazishaji wa baina ya vifaa: Ingia ili usawazishe kitabu cha tafsiri kati ya programu na kompyuta ya mezani • Kipengele cha Kunukuu: Tafsiri kwa mfululizo mtu anapozungumza lugha tofauti karibu wakati huo huo (lugha 8)
Taarifa ya Ruhusa Google Tafsiri inaweza kuomba ruhusa ya kufikia vipengele vifuatavyo: • Maikrofoni kwa ajili ya tafsiri ya kutamka • Kamera kwa ajili ya kutafsiri maandishi kupitia kamera • Hifadhi ya nje kwa ajili ya kupakua data ya kutafsiri nje ya mtandao • Akaunti na vitambulisho vya kuingia katika kifaa na kusawazisha kwenye vifaa vyote
Ilisasishwa tarehe
16 Jan 2025
Zana
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine5
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.1
Maoni 8.51M
5
4
3
2
1
Loochi Lulong
Ripoti kuwa hayafai
9 Januari 2025
I really loved it , special in SWAHILI language 100 % correct.