Google Play Pass

Jisajili kwenye huduma ya Google Play Pass

Zaidi ya michezo na programu 1000, bila matangazo wala ununuzi wa ndani ya programu na ofa mpya za michezo maarufu kila mwezi

Offers every month

Offers may vary by account and country
€5 off any in-app purchase
With a Google Play Pass subscription
MONOPOLY GO!
ScopelyDaraja la maudhui PEGI 3
€5 off any in-app purchase
With a Google Play Pass subscription
Roblox
Roblox CorporationDaraja la maudhui Mwongozo wa wazazi
€5 off any in-app purchase
With a Google Play Pass subscription
EA SPORTS FC™ Mobile Football
ELECTRONIC ARTSDaraja la maudhui PEGI 3
€5 off any in-app purchase
With a Google Play Pass subscription
Royal Match
Dream Games, Ltd.Daraja la maudhui PEGI 3
€5 off any in-app purchase
With a Google Play Pass subscription
Monster Hunter Now
Niantic, Inc.Daraja la maudhui PEGI 16

Maswali yanayoulizwa sana

Unapojisajili kwenye Play Pass, unapata ofa za kipekee katika michezo maarufu kila mwezi na orodha tofauti ya michezo na programu zaidi ya 1,000. Katika orodha, matangazo yote huondolewa na ununuzi wote wa ndani ya programu na maudhui yaliyolipiwa hufunguliwa.

Orodha inajumuisha programu na michezo zaidi ya 1,000. Programu na michezo inayolipishwa inajumuishwa bila malipo ya ziada. Kwa michezo na programu zote katika orodha ya Play Pass, matangazo huondolewa na ununuzi wa ndani ya programu hufunguliwa. Waliojisajili wanaweza kupata michezo hii na programu kwenye sehemu ya Play Pass ya programu ya Duka la Google Play au kuangalia beji ya Play Pass katika maudhui kote kwenye Google Play.

Waliojisajili hupokea ofa za kipekee katika michezo maarufu mahususi nje ya orodha ya Play Pass. Ofa hizi zinaweza kuwa masalio ya ndani ya mchezo au ofa kwenye vipengee mahususi vilivyo ndani ya michezo na waliojisajili hupata seti mpya ya ofa za kila mwezi. Ofa hazipatikani katika vipindi vya kujaribu au kwenye michezo iliyo katika orodha ya Play Pass. Sharti ofa zitumiwe kwa njia ya kulipa ya Malipo kupitia Google Play.

Ikiwa una programu au michezo yoyote iliyojumuishwa kwenye orodha ya Play Pass, matangazo yote yataondolewa na ununuzi wote wa ndani ya programu utafunguliwa.

Ukiwa na Maktaba ya Familia, Msimamizi wa Familia anaweza kuruhusu ufikiaji wa Play Pass kwa hadi wanafamilia 5 bila malipo. Wanafamilia watahitaji kuwasha huduma ya Play Pass kwenye akaunti zao. Ofa za kila mwezi na manufaa mengine yanapatikana tu kwa Msimamizi wa Familia.

Shiriki burudani

Wasimamizi wa familia wanaweza kushiriki uwezo wa kufikia michezo na programu za Google Play Pass na hadi wanafamilia wengine 5. Ofa za ndani ya mchezo za kila mwezi zinapatikana tu kwa wasimamizi wa familia.