Nguzo za Imani

· Zion Christian Publishers
E-book
142
Páginas
Qualificado
As notas e avaliações não são verificadas Saiba mais

Sobre este e-book

Katika kitabu hiki chenye kuchochea fikira cha Nguzo za Imani, Dkt. Bailey anaufungua uelewa wetu wa kanuni za Mungu za imani. Tunapoendelea kusafiri pamoja naye katika njia ya kuelekea katika namna kamilifu zaidi ya imani, tunapewa changamoto kwa upya kuingia katika viwango vipya vya ulimwengu wa Roho ambapo milima huamishwa na imani huwa matendo!

Sobre o autor

Dkt. Brian J. Bailey aliwahi kuwa rais wa Zion Fellowship International, Taasisi ya Huduma ya Sayuni (Zion Ministerial Institute), na Chuo Kikuu cha Kikristo cha Sayuni (Zion Christian University) kwa zaidi ya miaka thelathini. Katika huduma yake ya miaka hamsini, amesafiri kwenda katika nchi zaidi ya mia moja akihudumu katika makanisa, semina, na shule za Biblia. Pia, Dkt. Bailey ameandika vitabu zaidi ya sitini, akiwafundisha waamini njia za Mungu na jinsi ya kuimarika katika njia ya utakatifu ambayo inaelekea katika Mlima Sayuni wa kiroho.

Avaliar este e-book

Diga o que você achou

Informações de leitura

Smartphones e tablets
Instale o app Google Play Livros para Android e iPad/iPhone. Ele sincroniza automaticamente com sua conta e permite ler on-line ou off-line, o que você preferir.
Laptops e computadores
Você pode ouvir audiolivros comprados no Google Play usando o navegador da Web do seu computador.
eReaders e outros dispositivos
Para ler em dispositivos de e-ink como os e-readers Kobo, é necessário fazer o download e transferir um arquivo para o aparelho. Siga as instruções detalhadas da Central de Ajuda se quiser transferir arquivos para os e-readers compatíveis.