Kuwa wa kwanza kujua yaliyojiri kwenye michezo kila siku kupitia simu yako ya mkononi.
Habari za soka la bongo na ratiba zote za mechi za ligi kuu Nbc na ligi za ulaya, tetesi za usajili, matokeo ya mechi zote kwa wakati bila kusahau utabiri wa mechi zote zinazochezwa kila siku.
Ứng dụng Kupitia hii ya habari za michezo utapata uchambuzi wa soka kwa ligi zote kutoka wa wachambuzi waliobobea katoka soka, pia utapata taarifa zote zinahusu vilabu vya soka na soka lote kwa ujumla.
Utaweza kujua yaliyojiri kwenye timu za ligi kuu kama ile simba, yanga, Azam, Namungo, singida bigstars, polisi tanzania, mtibwa sugar na nyingine nyingi.
Lần cập nhật gần đây nhất
18 thg 6, 2024