NBC Premier League | 2024-2025
App Hii ni Kwa Ajili Ya Mashabiki wote wa mpira na wafuatiriaji wa Ligi Kuu Tanzania Bara,
Unakusanyiwa Taarifa za michezo kutoka vyanzo mbalimbali kila siku, hakuna malipo yoyote katika utumiaji.
Ni sehemu sahihi yakuweza kupata taarifa zote za michezo juu ya ligi kuu ya Tanzania bara chini ya udhamini wa NBC Bank,
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari pamoja na kutoka kwa waandishi mashuhuri na wakubwa wenye weredi na maarifa juu ya habari,
Kila siku huwekwa habari muhimu na za msingi kwa maelezo ya kina na utaweza kuwa na uhakika wa kujua na kufahamu mambo yote yanayoendelea ndani ya NBC Premier League | 2023-2024,
Usisahau kutoa maoni yako pamoja na kutuandikia kwa ushauri na mapendekezo mbalimbali,
Karibu tuweze kuburudika pamoja tukipashana habari ndani ya NBC Premier League | 2023-2024
Oxirgi yangilanish
5-iyl, 2024