Signal - Mesenja wa faragha

Ununuzi wa ndani ya programu
4.5
Maoni 2.62M
100M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Signal ni programu ya utumaji jumbe yenye msingi wa faragha. Hailipishwi na ni rahisi kutumia, huku ikiwa na usimbaji fiche thabiti unaofanya mawasiliano yako kuwa ya faragha kabisa.

• Tuma jumbe, jumbe za sauti, picha, video, vibandiko, GIFs, na mafaili bure. Signal hutumia muunganisho wa data wa simu yako, ili uepuke tozo za SMS na MMS.

• Wapigie marafiki wako kwa kutumia simu za sauti zilizosimbwa na simu za video. Simu za vikundi zinazopokea hadi watu 40.

• Kaa katika muunganiko wa magumzo ya makundi ya hadi watu 1,000. Thibiti nani anayechapisha na kusimamia wanachama wa kikundi kwa mipangilio ya ridhaa ya admin.

• Share stori za picha, jumbe na video zinazotoweka baada ya saa 24. Mipangilio ya faragha hukupa udhibiti wa ni nani hasa anayeweza kuona kila Stori.

•Signal imetengenezwa kwa ajili ya faragha yako. Hatujui chochote kuhusu wewe au unayezungumza naye. Protokali yetu ya wazi ya Signal inamaanisha kuwa hatuwezi kusoma jumbe zako au kusikiliza simu zako. Vile vile hakuna mtu mwingine yeyote anayeweza. Hakuna milango ya nyuma, ukusanyaji data wala majadiliano.

•Signal inajitegemea na si ya kibiashara; ni kampuni ya kiteknolojia tofauti inayotoka shirika la kitofauti. Kama shirika lisilo la faida la 501c3 tunaungwa mkono na michango yako, si watangazaji biashara au wawekezaji.

• Kwa msaada, maswali na taarifa zaidi tafadhali tembelea https://support.signal.org/

Ili kuangalia kodi yetu ya chanzo, tembelea https://github.com/signalapp

Tufuate Twitter @signalapp na Instagram @signal_app
Ilisasishwa tarehe
21 Jan 2025

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.5
Maoni 2.59M
Makeresia Pawa
3 Septemba 2021
Nzuri
Watu 6 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Vipengele vipya


★ Nembo mpya na iliyosasishwa kidogo ya Signal inaweza kukusaidia kupata uzoefu kidijitali wa kumuona rafiki mzuri mara tu baada ya kukata nywele (lakini sio staili mpya kabisa).
★ Folda za gumzo zinakuwezesha kupanga mashirika yako, kuweka vikundi vyako katika makundi na kuwapanga watu binafsi katika folda za kipekee ambazo ni rahisi kuziwekea mapendeleo na kuzipanga upya.