Programu ya Madereva wa Uber - bora kwa madereva
Pata pesa katika muda wako wa ziada kwa kutumia programu mpya ya madereva. Tumeiunda kwa kushirikiana na madereva ili kukuletea zana unazohitaji kufaulu.
Tusaidie kusafirisha watu na mizigo. Endesha gari wakati unaotaka, bila ofisi wala bosi. Tungependa ufurahie unakoenda na pia safari yenyewe.
Jisajili ili uendeshe gari kwa kutumia programu ya Madereva wa Uber. Tutakuelekeza katika kila hatua na tukuarifu utakapokuwa tayari kuendesha gari.
Njia bora ziadi ya kupata pesa
Fuatilia pesa unazopata katika kila safari hapo kwenye ramani tu.
Ratibu wakati wa kuendesha gari kulingana na mtindo wako wa maisha. Panga siku kwa urahisi kwa kutumia makadirio ya muda utakaosubiri hadi upokee ombi la usafiri na utabiri wa wingi wa wasafiri katika eneo lako katika saa 24 zijazo.
Usaidizi unaohitaji
Usiwe na wasiwasi katika safari zako za kwanza — utapata maelekezo ya jinsi ya kutumia programu utakapoifungua mara ya kwanza.
Pata usaidizi unaohitaji kwa kutumia zana rahisi iliyo ndani ya programu kuripoti matatizo au kuuliza maswali.
*Kwa kawaida, programu hii hutumia GB 2 za data kila mwezi. Kutumia maelekezo ya ramani kunaweza kupunguza muda wa kutumia betri yako.
Maudhui/ujumbe wa Uber huenda ukatafsiriwa na binadamu au mashine kwa kifaa, usahihi hauhakikishwi.
Ilisasishwa tarehe
6 Jan 2025