Truecaller: Kitambulisho

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.4
Maoni 24.1M
1B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Mwongozo wa wazazi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Watu millioni 400 wanaiamini Truecaller kwa mahitaji ya mawasiliano,huenda ni kwa vitambulisho ya mpigaji simu au vizuizi vya simu taka na jumbe.Inachuja usivyovitaka na inakuunganisha na watu unaowajali.
Ikiwa na orodha kutoka kwa jamii kuhusu waliozuiwa iliyosasishwa na mamilioni ya watumiaji duniani,Truecaller ni programu pekee unayohitaji ili kufanya mawasiliano yawe salama na fanisi.

Jumbe za kijanja:
-Chati na marafiki na familia bure kwenye Truecaller
-Tambua kiotomatiki SMS usizozijua
-Zuia kiotomatiki taka na SMS za matangazo
-Zuia kwa jina na nambari

Kipiga simu chenye nguvu:
-ID mpigaji ambacho ni bora duniani kitatambua yoyote anaekupigia
-Inazuia taka na matangazo ya simu
-Ona majina ya nambari usizofahamu kwenye historia ya waliokupigia
-Jumbe za Flash-shirikisha mahali,emoji & hali kupitia angalizo kwa marafiki zako
-Hifadhi historia ya simu,wawasiliani,jumbe na mipangilio kwenye Google Drive

Truecaller Premium-Sasisha na upata kufikia:
-Kujua alietazama umbo lako
-Chaguzi za faragha za kutazama maumbo
-Pata beji ya premium kwenye umbo lako
-Maombi ya wawasiliani 30 kwa mwezi
-Hakuna matangazo

Truecaller ya Gold-Kuwa wa pekee kwenye umati:
-ID cha mtumiaji wa Gold
-Pewa kipaumbele kwenye Huduma

*Truecaller inaweza kutoa huduma kwa simu za dual!

-------------------------
*Truecaller haipakii kitabu cha wawasiliani wako kwa uma au kuweza kupekuliwa*
Una marejesho? Tuandikie kwa [email protected] au nenda http://truecaller.com/support
Ilisasishwa tarehe
8 Jan 2025
Ofa na matukio

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Kifaa au vitambulisho vingine
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine9
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

4.4
Maoni 23.8M
Pareen Mandal
11 Septemba 2024
Parimalmondalp
Watu 9 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Joshua Nicodemus
23 Mei 2023
Shukrani sana kwa uboreshwaji wenu wa programu. Mko vizuri!
Watu 20 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Kagba Issah
10 Februari 2023
Bwana yesu kristo asifiwe leo na hata milele
Watu 12 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Vipengele vipya

- Meet our new lifelike AI Assistant that handles your calls naturally. Watch the conversation stream in real-time in your Assistant's live chat. Now in the US, with more markets coming soon.
- Truecaller just got smarter! Now available on Wear OS, making it easier to protect yourself from spam calls right from your wrist.
- A newly redesigned block screen with extra levels of spam protection