Nyimbo za Tenzi za Rohoni

elfu 10+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Kaa karibu na uwepo wa Mungu kwa kusifu na kuabudu kupitia nyimbo zilizopo katika kitabu cha Tenzi za rohoni kupitia app hii.

Tenzi za Rohoni ni App ambayo ni muhimu kwa waumini wa Kikristo wanaotumia lugha ya Kiswahili, ikirahisisha upatikanaji wa nyimbo za injili mahali popote na wakati wowote.

"Tenzi za Rohoni" ni programu ya simu ambayo imeundwa kwa lengo la kusaidia watu kusoma na nyimbo za Kikristo za Kiswahili, maarufu kama "tenzi." App hii inakuja na maktaba kubwa ya nyimbo 161 za injili ambazo kusikilizwa au kusomwa kwa kusudi la ibada, mafundisho, au kuabudu.

Karibu uabudu nasi kupitia programu za Tenzi za rohoni kila hata wakati bila kuwa na Mb , ipakua sasa ili uanze kutumia pia usisahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki waipakue.
Ilisasishwa tarehe
14 Jun 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa