Je unawajua mashujaa ambao wanavaa joho nyeupe? Ndio, upo sahihi hao ni madaktari wetu! Umewahi kuota kuokoa maisha ya mtu flani? Basi Mji wa Tizi - Hospitali ni sehemu sahihi ambayo inakupa matumaini ya jukumu la kucheza kama daktari na okoa maisha ya watu wako
Pata uzoefu wa ugumu wa maisha ya hospitali ukiwa na mchezo huu na cheza kwa kujifanya mgonjwa au mtu wa dawa au daktari. Vumbua kila floo kuanzia sehemu ya ambulensi hadi chumba cha uchunguzi wa CT scan. Ndani ya Mji wa Tizi - hospitali, una machaguo ya kazi nyingi kama dentist,Osteopathic, Radiologist, au Surgeon. hivyo unasubiri nini, pakua mchezo huu sasa!
Ingia kwenye changamoto halisi za maisha ambazo madaktari wanakutana nazo kila siku na kuwa mpangaji wa hospitali yako. Tengeneza hadithi inayohusu ratiba za uchunguzi, tibu magonjwa mbali mbali, chunguza kwa mtambo wa CT scan, na zaidi. Wafanye watoto wako wasimamaie hospitali zao & na kutengeneza huruma kwa wengine
Wasifu mkuu za mchezo huu ni: Kuna zaidi ya wahusika 25 wa kucheza, wa viumbe tofauti tofauti, umri unawakilisha wagonjwa na madaktari Ubunifu mwingi wa njia ya kucheza kwenye floo ya 5 ikiwa na sehemu tofauti tofauti za matibabu Michezo mingi midogo inakusubiri ikiwa ya kila aina Ni mchezo wa madaktari kwa watu wa kila umri Inapendeza na muonekano wa hali ya juu Pata mshituko mpya wa kufurahisha ndani ya kila chumba
Hivyo mnasubiri nini? Chunguza,tibu & waponye wagonjwa wako. Ishi maisha ya mtaalamu wa afya ukiwa na changamoto halisi za maisha. Njoo na pakua mchezo huu sasa!
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.4
Maoni elfu 15.9
5
4
3
2
1
Vipengele vipya
Hello little caretakers, Hope you all are having an amazing time playing this fun doctor game. In this update, we have fixed bugs so that you can treat your patients without any interruption!! So get your doctor's coat on and Update the app NOW! If you like the game don't forget to leave us a 5-star review too!