Wavishe wasichana 6 wa chibi katika mchezo wetu mpya wa Anime na Manga.
Katika mchezo huu kuna zaidi ya bidhaa 240, inayojumuisha mitindo ya nywele, mabawa,rinda na kadhalika. Hakuna kitu kilichofungwa wala hakuna malipo yoyote wala chochote kisichopendeza au kitacho kuzuia kutumia ujuzi wako wa kimwanamitindo. Kila msichana ana rangi tofauti ya ngozi na sura. Unafaa kuhakikisha kuwa mavazi utakayo mvisha yanamfaa.
Kama unapenda michezo ya Manga, Anime na zaidi ya wasichana wa kijapani, unaweza kuzuru mtandao wetu wa 'More by games for girls'.
Ilisasishwa tarehe
25 Sep 2022