Ni rahisi na haraka zaidi kuendelea kuwasiliana na marafiki ukitumia programu ya Facebook Lite! Tumia programu ya Facebook Lite kama programu ya kuwasiliana na marafiki kujiunga na kuendelea kuwasiliana na watu unaowasiliana nao mitandaoni. Programu ya Facebook Lite ni ndogo, inakuruhusu kuhifadhi nafasi kwenye simu yako na kutumia Facebook katika hali ya mtandao ya 2G.
Vipengele vingi vya kawaida vya Facebook vinapatikana kwenye programu, kama vile kushiriki kwenye Ukurasa, kupenda picha, kutafuta watu na kuhariri wasifu na makundi yako. Vipengele maalum ni pamoja na:
* Tafuta marafiki na familia * Weka machapisho ya hali na utumie emoji ya Facebook kukusaidia kuwasilisha kile kinachoendelea katika ulimwengu wako * Shiriki picha na picha za utani unazopenda zaidi * Pata arifa marafiki wanapopenda na kutoa maoni kwenye machapisho yako * Tafuta matukio ambapo watu wanajumuika pamoja mtaani, Jibu Mwaliko na ufanye mpango wa kukutana nao * Ingiliana na marafiki zako kwa kuongeza maoni na hisia zako binafsi kwenye machapisho yao kwenye Facebook * Hifadhi picha kwa kuziweka kwenye albamu za picha * Fuata watu ili upate habari za hivi punde kuwahusu * Angalia biashara mitaani ili uone ukaguzi, saa za kazi na picha zao. * Nunua na uuze mtaani kwenye Facebook Marketplace
Programu ya Facebook inafanya mambo zaidi yanayokufanya uendelee kuungana na marafiki na mapendeleo yako. Pia ni mratibu wako wa kibinafsi kwa kuweka, kuhifadhi na kushiriki picha. Ni rahisi kushiriki picha moja kwa moja kutoka kwenye kamera yako ya Android, na una udhibiti kamili juu ya picha na mipangilio yako ya faragha. Unaweza kuchagua kuhifadhi picha za kibinafsi kwa faragha au hata kusanidi albamu ya siri ya picha ili kudhibiti anayeitazama.
Programu ya Facebook Lite pia inakusaidia kupata habari za hivi punde na matukio yanayoendelea kote ulimwenguni kwa sasa. Jisajili ili ufuate Arifa za Habari za watu maarufu, bidhaa, tovuti, wasanii au timu za michezo unazopenda zaidi kwa urahisi ukitumia programu yako ya Facebook Lite!
Je, unapata matatizo katika kupakua au kusakinisha programu hii? Angalia https://www.facebook.com/help/fblite Je, bado unahtaji usaidizi? Tafadhali tujulishe zaidi kuhusu tatizo hilo: https://www.facebook.com/help/contact/640732869364975 Facebook inapatikana tu kwa watu wenye umri wa miaka 13 na zaidi. Masharti ya Huduma: http://m.facebook.com/terms.php
Ilisasishwa tarehe
7 Jan 2025
Mitandao jamii
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Taarifa binafsi na Kifaa au vitambulisho vingine
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine12
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.1
Maoni 27.7M
5
4
3
2
1
Abas Omar
Ripoti kuwa hayafai
22 Desemba 2024
Habari . Vipi picha yangu ya facebook inatokea ya mtu mwingine ?.
Watu 5 walinufaika kutokana na maoni haya
Anifamlisho Mlishoo
Ripoti kuwa hayafai
17 Desemba 2024
Kwa upande wa pili wa rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ardhi ya Tanzania na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya ardhi