Braindom: Mafumbo Tatanishi

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.7
Maoni 1.83M
50M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Furahia mchezo huu na mamia ya michezo mingine, bila matangazo wala ununuzi wa ndani ya programu, ukitumia usajili wa Google Play Pass. Sheria na masharti yatatumika. Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Braindom: Mafumbo Tatanishi ya Ubongo - Michezo ya Akili ni mchezo mpya na wa bure wa kuboresha kiwango chako cha akili! Ina chemsha bongo nyingi, mafumbo, michezo ya akili, majaribio, na vitendawili vya kuwezesha ubongo wako utambue njia mpya za kufikiri.

Braindom: Mafumbo Tatanishi ya Ubongo - Michezo ya Ubongo ni jaribio la kupima akili. Hebu turinge na kiwango chako cha akili. Ni mchezo unaoraibisha na unaopendeza na una mfululizo wa chemsha bongo tatanishi.

Braindom: Mafumbo Tatanishi ya Ubongo - Michezo ya Akili ina maswali mengi ya kawaida ili kuridhisha ladha tofauti za wachezaji wote na wapenzi wa michezo ya maneno, michezo ya vitendawili, michezo ya hesabu, michezo ya kupia kiwango cha akili, na zaidi.

Sifa nzuri za Braindom;

• Kuna chemsha bongo maridhawa!

• Ongeza ubunifu wako wa kufikiri!

• Ni mchezo unaohitaji upige bongo!

• Unahitaji kuwa mbunifu!

• Onyesha tofauti katika visanduku

• Makinika, tumia viberiti kwa uangalifu!

• Tumia mantiki halisi ili ushinde changamoto.

• Jaribu kutumia mbinu tofauti, piga bongo!

• Pima ustadi wako wa mawazo na ujuzi wa mantiki.

• Zingatia maelezo na uongeze uwezo wako wa kufikiri!

• Tumia vidokezo ikiwa unahitaji kidokezo.

• Suluhisha vitendawili!

• Chemsha bongo tatanishi & za kutia jazba: Zitakutatanisha!

• Zoezi zuri la ubongo.

. Pana viwango vingi sana vya kucheza

• Ni mchezo rahisi na unatia uraibu.

• Ni mzuri sana kwa watu wa umri wowote

• Unasaidia kupitisha wakati.

Jaribio zuri la ubongo! Braindom: Mafumbo Tatanishi ya Ubongo - Michezo ya Akili ni mchezo unaoraibisha na unaopendeza sana na una mfululizo wa chemsha bongo tatanishi. Majaribio tofauti ya vitendawili yatakutatanisha.

Utashangazwa na mantiki inayohitajika kutatua kila jaribio na kila swali, na ikiwa wewe ni mwerevu na mmakinifu utafurahia kila hatua. Bila shaka, utaifunza ubongo wako kutatua mafumbo tatanishi kwa kufikiria zaidi.

Mchezo wa akili wa Braindom umeundwa kwa njia rahisi lakini inayochemsha ubongo, huhitaji malipo na unajumuisha huduma za kushangaza, kila swali linatatanisha lakini si gumu, bila shaka utafurahia na utacheza na marafiki na jamaa zako.

Ikiwa wewe ni shabiki wa vitendawili, michezo ya maneno, michezo ya kawaida, majaribio, chemsha bongo, au iwapo ungependa tu kujiburudisha, basi Mwokoe Msichana ni mchezo unaokufaa! Je, unaweza kumlinda kutokana na madhara?

Braindom: Mafumbo Tatanishi ya Ubongo, Michezo ya Akili, Jaribio la Kiwango cha Akili zinaipa fursa ubongo wako upate uzoefu wa michezo ya akili, chemsha bongo na vitendawili mbalimbali. Braindom inatathmini uwezo wako wa kufikiri kimantiki, usahihi, kumbukumbu, ubunifu wako, na zinakupa fursa ya kujibu maswali haraka.

Pakua Braindom: Mafumbo Tatanishi ya Ubongo, Michezo ya Akili, programu ya Jaribio la Kiwango cha Akili ya kukufurahisha wewe na marafiki wako mnapofanya jaribio bunifu la michezo ya akili ambalo linaraibisha.

Jitayarishe! Cheza sasa na ufurahie bila kukoma!
Ilisasishwa tarehe
3 Jan 2025
Inapatikana katika
Android, Windows

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Taarifa binafsi na Maelezo ya fedha
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine3
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.7
Maoni 1.8M

Vipengele vipya

- Performance improvements
- Bug fixes