Nyimbo za Tenzi za Rohoni

Innehåller annonser
10 tn+
Nedladdningar
Innehållsklassificering
PEGI 3
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild
Skärmdumpsbild

Om appen

Kaa karibu na uwepo wa Mungu kwa kusifu na kuabudu kupitia nyimbo zilizopo katika kitabu cha Tenzi za rohoni kupitia app hii.

Tenzi za Rohoni ni App ambayo ni rasilimali muhimu kwa waumini wa Kikristo wanaotumia lugha ya Kiswahili, ikirahisisha upatikanaji wa nyimbo za injili mahali popote na wakati wowote.

"Tenzi za Rohoni" ni program ya simu ambayo imeundwa kwa lengo la kusaidia watu kusoma na kushiriki nyimbo za Kikristo za Kiswahili, maarufu kama "tenzi." App hii inakuja na maktaba kubwa ya nyimbo ya nyimbo 161 za injili ambazo zinaweza kusikilizwa au kusomwa kwa kusudi la ibada, mafundisho, au kuabudu.

Karibu uabudu nasi kupitia programu ya Tenzi za rohoni kila wakati hata bila kuwa na Mb , ipakua sasa ili uanze kuitumia pia usisahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki waipakue.
Uppdaterades den
14 juni 2024

Datasäkerhet

Säkerhet börjar med förståelsen av hur utvecklare samlar in och delar din data. Praxis för dataintegritet och säkerhet varierar beroende på användning, region och ålder. Utvecklaren har tillhandahållit denna information och kan uppdatera den med tiden.
Ingen data delas med tredje part
Läs mer om hur utvecklare deklarerar delning
Ingen data samlades in
Läs mer om hur utvecklare deklarerar insamling
Data krypteras när den skickas
Det går inte att radera datan