Hili ni darasa la historia ya Mtume Muhammad (s.a.w). Darsa hili limegawanywa katika mafungu makuu manne. 1. Historia ya Mtume Muhammad toka kuzaliwa na kabla ya Utume 2. Historia ya Mtume Muhammad akiwa mtume, kiongozi na Amirijeshi. 3. Historia ya Uongozi wa mAkhalifa baaya ya Mtume Muhammad 4. matukio katika historia ya Uislamu wakati wa Mtume (s.a.w)